.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Friday, July 10, 2015

Huyu ndiye star anae hamia Manchester United

Klabu ya Manchester United imepanga kutoa kitika cha pound milioni 60 kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa kijerumani Thomas Muller (25) anae ichezea klabu ya Bayern Munich.  Manchester itamsajili mjerumani huyo kama mbadala wa mshambuliaji wao wa kiholanzi Robin Van Persie.
mulaa
Thomas Muller anatajwa kuhamia United
Tayari United imekubaliana na klabu ya Fenerbahce ya Uturuki dau la pound milioni 4.7 kama ada ya uhamisho wa Van Persie na atafanyiwa vipimo vya afya weekend hii na kusaini mkataba wa miaka minne na mshahara wa pound 200,000/=.

No comments:

Post a Comment