Nyota wa tuzo ya Oscar kutoka nchini Kenya Lupita Nyong'o ameweka wazi sababu ya yeye kuamua kunyoa nywele zake baada ya ushiriki wake katika filamu maarufu ya '12 Years a Slave'.
Nyota huyo amesema kuwa sababu hasa ya kunyoa nywele zake ni kuchoshwa na muda wa kwenda kusuka nywele salun na pia kuchoshwa kuwatembelea wataalamu wa masuala ya nywele akielezea zaidi kwamba hapendi kutumia make up ya aina yeyote hata akiwa kwenye hafla za zulia jekundu.

No comments:
Post a Comment