BIASHARA:
Mfuko wa akiba wa GEPF umesema baaada ya bunge la jamhuri kupitisha sheria mpya ya mfuko huo utabadili mfumo wa uendeshaji na kuruhusu kulipa mafao ya muda mrefu huku mfuko huo ukifikisha thamani ya shilingi bilioni 198.38 ukiwa na wanachama zaidi ya 62,000.

No comments:
Post a Comment