BIASHARA:
Mamlaka ya mapato nchini TRA imesema asilimia kumi tu ya ushuru wa forodha inayotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa bara toka Zanzibar na si kwamba zinatozwa kodi upya kama inavyoelezwa na baadhi ya wasafiri na wafanyabiashara.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_ti-knhUKBh9mZq_PTY2rX2yTRv5X6f_O-Z2qRBK4_PvAot3IUjCVYzPRQTa9oO3RwdIFUdODG0Xv1MpKnYSdnCt_d3VY8wyysio-M=s0-d)
Mamlaka ya mapato nchini TRA imesema asilimia kumi tu ya ushuru wa forodha inayotozwa kwa bidhaa zinazoingizwa bara toka Zanzibar na si kwamba zinatozwa kodi upya kama inavyoelezwa na baadhi ya wasafiri na wafanyabiashara.
No comments:
Post a Comment