Aliyekuwa naibu spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amedaiwa kumpiga fimbo ya kichwani mtia nia mwenzake Dkt .Joseph Chilongani akimtuhumu kuwa alikua akimrekodi katika simu yake.
Tukio hilo linadaiwa kutendeka katika kata ya ugogoni mjini kongwa tukio ambalo limesababisha Dkt .Joseph Chilongani azimie na kukimbizwa katika hospitali ya Kongwa kwaajili ya matibabu baada ya kupata fomu namba 3 toka Polisia.
No comments:
Post a Comment