Habari zilizo tufikia sasa kuwa aliye pigwa na aliyekuwa naibu spika wa bunge la jamuhuli ya muungano Dr. Joseph Elieza Chilongani ambaye ni mmoja wa watangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kongwa, kuwa amekufa ni za uongo kwani muda mchache tu uliopita mgonjwa huyo alishiriki chakula cha mchana vizuri.
“Muda wa mchana amekula chakula vizuri tu kwahiyo hizo taarifa zinazoenezwa juu ya kifo chake ni za uzushi dhidi ya ndugu yetu Joseph” alieleza Katibu huyo.
“Muda wa mchana amekula chakula vizuri tu kwahiyo hizo taarifa zinazoenezwa juu ya kifo chake ni za uzushi dhidi ya ndugu yetu Joseph” alieleza Katibu huyo.
No comments:
Post a Comment