Wakati habari za kisiasa zikiendelea kushika nafasi katika nyanja mbalimabli hapa nchini ikiwa ni pamoja na Mh. Edward Lowassa kujiunga na CHADEMA kwa ajili ya kuwania kiti cha Urais 2015 basi hili ni tamko lake ameandika Mh. Zitto kwenye acount yake ya Facebook. “Hatutajiunga na kundi lolote la kisiasa kwa sababu hawakubali Azimio la Tabora. Bora kubaki peke yetu kuliko kuvunja misingi yetu”
No comments:
Post a Comment