Mbunge wa jimbo la Ilala na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mussa Azzan Zungu akikagua timu wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imezindua mashindano ya Airtel Rising Stars kwa mkoa wa Dar es Salaam unaojumuisha mikoa ya kisoka ya Ilala, Kinondoni na Temeke.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa michuano hiyo alikuwa ni Mbunge wa jimbo la Ilala na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mussa Azzan Zungu ambaye amesema, Aitel wamekuwa ni wadau wakubwa kwenye kuibua na kukuza vipaji vya soka la vijana nchini Tanzania.

No comments:
Post a Comment