Tume ya taifa ya uchaguz yatangaza majimbo mapya na kubadili majina ya majimbo 12 kwa Tanzania bara. Sasa majimbo yafikia 265 kwa Tanzania nzima kutokana na ongezeko la majimbo ayo
Pichani ni mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi jaji Damian lubuva na kulia n mkurugez wa uchaguz julius mallaba wakitanganza majimbo mapya
Pichani ni mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi jaji Damian lubuva na kulia n mkurugez wa uchaguz julius mallaba wakitanganza majimbo mapya
No comments:
Post a Comment