Deus Kaseke ambae amesajiliwa na Yanga
Unajua ni zali gani? Wapo baadhi ya wachezaji hawakuota kama wangekuja kucheza michuano ya Kombe la Kagame, lakini ni usajili unaoendelea ndio umewapa zali hilo. Wachezaji hao kama wangebaki katika klabu zao ingekuwa vigumu kwao kuicheza michuano hiyo inayoshirikisha Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati itakayoanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment