.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Saturday, July 11, 2015

Zitto Kabwe kayasema haya kuhusu chama chake kuteua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine

Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.
Sasa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe leo amefunguka kuhusu chama chake kumteua mgombea au kuunga mkono mgombea cha chama kingine.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewahabarisha wananchi kwa kusema…’Chama chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine kwa maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama Kiongozi wa chama sina mamlaka yeyote yale kutangaza mtu kuwa mgombea wetu’ – @zittokabwe
.
.
Hivi sasa Uongozi mzima wa Chama upo kwenye retreat ili kujipanga na uchaguzi. Hatuna mazungumzo wala makubaliano na mtu yeyote kutoka chama kingine kuhusu nafasi ya Urais. Mgombea wetu atapatikana kwa kupitia vikao vya chama chetu…’  -@zittokabwe

No comments:

Post a Comment