.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Friday, July 10, 2015

Nollywood kuibeba Nigeria kiuchumi? Ripoti ya Umoja wa Mataifa Tume ya Kimataifa ya Biashara imeeleza haya!


niijaa
Nimekutana na makala inayozungumzia ukuwaji wa tasnia ya filamu nchini Nigeria, je unajua ya kuwa Nigeria inatengeneza zaidi ya movie 50 kwa wiki moja tu? Na ina toa ajira kwa watu zaidi ya millioni moja ikiwa ni Sekta ya pili inayo ongoza kwa kutoa ajira huku Sekta ya kilimo ikiongoza?!
12 Kate Henshaw, Rita Dominic, Stephanie Linus & Omotola Jalade-Ekeinde
Inawezekana hujui mengi sana kuhusu Nollywood ya Nigeria, nimefanya jitihada ya kukusogezea kile nilichokipata kuhusu Industry hiyo, yafuatayo yatakuacha hoi mtu wangu!
zzzzz
Movie zinazotengenezwa Nollywood sasa hivi zimefika levo za kuuzwa kimataifa, wakiwa wanatengeneza zaidi ya movie 500 kwa mwezi za stori zinazohusu mapenzi, visa na visasi, comedy na uchawi, Nigeria pia ni nchi ambayo kwa wiki tu ina uwezo wa kutengeneza movie 50 na 30 zenye vigezo vya kimataifa.
Nollywood-cnn
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa Tume ya Kimataifa ya Biashara inasema kwamba tasnia ya filamu Nigeria inachangia karibia dola Millioni 600 kwenye pato la taifa kwa mwaka ikiwa ni tasnia inayotengeneza zaidi ya movie 1,200 kwa mwaka na pia ni tasnia ya pili kwa ukubwa wakiongozwa na India.
Ripoti hio imeweka wazi kuwa Nollywood ni sekta kubwa ya pili inayoongoza kwa kutoa ajira Nigeriaikiongozwa na sekta ya kilimo.

No comments:

Post a Comment