.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Tuesday, July 28, 2015

Kassim Mganga: 'Nitamsaidia Q Chila'

Staa wa muziki wa miondokop ya Bongofleva nchini Kassim Mganga amesema kuwa pamoja na maneno ambayo yamekuwa yakimlenga msanii Q Chila kuhusu kiwango chake kuwa si ndivyo, yeye binafsi ataendelea kumsaidia katika muziki.Kassim amesema kuwa huwezi kumzuia mtu kuzungumza kutokana na ukweli kwamba kila mtu anazungumza maneno ambayo hujui yupo katika hali gani, akiweka wazi kuwa Q Chilla ni ndugu yake na atazidi kumpa sapoti katika muziki wake.

No comments:

Post a Comment