iku nyingi kidogo zimepita tangu nilipoweka post yoyote katika blogu yangu. Majukumu na shule pia yameingiliana. Leo nina furaha kwani punde utasoma makala yangu katika mfumo mpya kabisa katika ulimwengu wa blogu na tovuti. Ili ujisikie huru kusoma kitu lazima kikuvutie na kiwe tofauti kidogo. Hii ni infographic yangu ya kwanza na makala zote nitakazoziandika zitakuwa katika mfumo huu.

No comments:
Post a Comment