Hello! Karibu Studio.
Hapa tunazungumzia mambo kadha wa kadha juu ya changamoto mbalimbali za kibiashara na teknolojia. Lakini pia juu ya shughuli zinazofanywa na Suparoja Studio.

Mara kwa mara nimekuwa nikikuelezea njia za kuongeza spidi ya internet katika computer/laptop yako. Leo ningependa tuone ni kwa jinsi gani unaweza kuongeza spidi ya simu yako ya android (smartphone) na tablet yako pia.
Si unaifahamu Google Play Store. Itakuwepo kwenye android yako. Kazi hii ya kuongeza spidi katika smartphone yako itafanywa na program inayoitwa Internet Speed Master na ni ya bure Kabisa. Cha kufanya n kufungua Google Play Store na ku Search Internet Speed Master. Katika Listi chagua yenye nembo hii.
Hauhitaji kuhangaika sana kwani baada ya kuINSTALL hiyo program itakuwa tayari imeshaanza kazi yake ya kutafuta spidi bora zaidi inayoweza kupatikana. Hata hivyo spidi ya internet huathiriwa sana na mtandao unaoutumia na hali yake kwa wakati husika. Nyakati za usiku ambazo ni idadi chache ya watu wanakuwa mtandaoni, internet huwa na kasi zaidi.
Asante kwa kusoma hii. Nyingine ni bomba pia!

No comments:
Post a Comment