.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Saturday, July 11, 2015

hali ya Usalama nchini Burundi inazidi kuwa mbaya baada ya siku

HABARI ZA KIMATAIFA:BURUNDI



Hali ya usalama inazidi kuwa mbaya sana Burundi, milio nyingi ya masasi imesika tarafani Buterere hapo tarehe 09 julai mchana  pia grumenti moja imeripuka kwenye shule moja ya msingi. Raia wameziwiya barabara kwa kuchoma matahiri ili kulahani kitendo cha raia wenzi wao waliokamatwa na watu wa idara ya upelelezi, baadae raia awo walitawanywa na polisi walilazimu kuondowa vizingiti vyote na kusafisha barabara hio. Jumla ya watu wawili ndio walio uawa na wengine wa nne kukamatwa. Habari nyingine ya kushangaza kuwa wanafunzi wa shule ya mshingi ya kinindo waliandamana ili kupinga maamzi ya mkuu awaliwatangazia kuwa mwaka huu wa shule umefutwa. Wanafunzi hao wamelaumu na kushangazwa na kauli hio ya mkuu wa shule wakati wamekwisha anza hata mitihani ya kumalizia mwaka. Na uko mkoani Cibitoke maagaribu ya Burundi wanafunzi walio kimbilia nchini Congo, walikua wakizuwiliwa na vijana wa Imbonerakure . wengi wao ulazimika kutowa rushwa na wengine kupata kichapo ili wapate kuvuka mpakani, hali ya Burundi ahitabiriki, bali hali ya siasa nchini Burundi ni ya sito fahamu, viongozi wanao muunga mkono raisi Nkurunziza wako tayari hata ardhi na mbingu ipasuke ilimradi wabaki madarakani. Baada ya kuandaa uchaguzi wa mabunge na maduani kwasasa wanajiandaa uchaguzi wa maraisi mnamo siku chache zijazo. Wapinzani wametowa msimamo thabiti nakusema kuwa awaitambuhi uchaguzi arakati zote zilizo pita na pia awatojiunga kwenye serikali ya jumuhia ya umoja wakitaifa. Hatimaye musuluhishi mpya aliye teuli kwa kumaliza mgogoro wa Burundi Muheshimiwa Raisi wa Uganda bwana Museveni ajasema kitu, wengine wamesikika nakusema kuwa kitendo cha kumuchaguwa Yoweri Museveni ni kama kumukabizi kondoo kulinda bustani. Naye Nkurunziza halipo kuwa kwenye kampeni yake mkoani Ruyigi aliwaomba raia kumuchaguwa na kutaja kuwa endapo patakuwa badiliko yoyote ya uchaguzi wanainchi wangefaamishwa.

No comments:

Post a Comment