HABARI ZA KIMATAIFA:BURUNDI
|
ishara ya vita mkoani Kayanza |
Yale maneno ya wapinza walio ikimbia nchi yao ya Burundi na kutangaza njia muafaka wa kumuondoa Nkurunziza kwenye madaraka kwasasa dalili inaanza kujitokeza. Hapo tarehe 10 julai mwaka huu mashambulizi imeripotiwa kote nchini Burundi. Hata ivo raia wametakiwa kuwa makini kutotangaza ushindi kabla mchezo umalizika. Usalama umeumbishwa tena nchini Burundi kumeharithiwa jana tarehe 10 julai mapambano makali kati ya kundi la watu wanao bebelea silaha nzito nzito na jeshi la taifa uko tarafani Kabarore mkoani Kayanza kaskazini mwa Burundi na pia sehemu iliyo karibu na mpaka wa Rwanda uko mkoani Muyinga, wananchi wamaeneo ayo wamearithiwa kuyahama makazi yao makundi kwa makundi kutokana hali iyo inayo isharia vita. Uenda sasa ile kauli anahielewa Pierre Nkurunziza imeanza kutumia na wapinzani wake mpaka pale atakapo nyatuliwa madarakani. Mapambano hayo makali imeamia hadi katika pori la kibira. Na mjini Bujumbura milio mengi ya risasi imesikika na watu kadha wamearithiwa kuawa. Majira ya saa mbili asubuhi tarehe 10 julai, milio mengi ya risasi imesikika mjini kati Bujumbura, tukio ilo imesababisha vifu ya watu watatu akiwemo askari polisi umoja, ilitokea maeneo ya mkutano ya Uprona na ile ya urafiki maarufu kama Avenue de l’amitié. Watu wasio fahamika walikuwemo kwenye gari aina ya TI na ndipo uanza kufyatuwa risasi kwa wingi dhidi ya watu wawili, walionekana kuondoka na begi moja inasemekana ilikuemo kitita cha fedha. Baadae walimufyaturia askari polisi ambaye alikua akiusika na ulinzi wa duka la Thé 2000, baada ya mda mdogo tu gari la idara la ujasusi ama documentation, imewasili maheneo iyo na kuondoa mahiti ya askari polisi na kuacha nyingine mbili zikiadhirika hapo barabarani.
|
Avenu de l'amitié mtu uyo ameuawa |
Baadae ndipo askari polisi waliwasili maeneo hayo ya tukio na kuziondowa mahiti ayo na kusafisha maeneo iyo na kutaka watu watawanyike na kuendelea nashuhuli zao kama jambo ilo nikawaida sio la kushangaza tena. Thamani ya mtu kwasasa nchini Burundi imepotea kabisa, watu wanaendelea kuuawa kiolela kila kukicha na bila uchunguzi wowote wa kina kufanyika. Na tukio nyingine imearithiwa mchana mjini kati Bujumbura ambae mtu asiye fahamika na aliye kuwa kwenye pikipiki amerusha grumenti iliyo ripuka na kujehuri vibaya askari polisi walio kuwa maheneo ya barabara maarufu kama Avenue de la Mission na kwa araka walipelekwa na polisi wenzake. Kwa tukio izo inatakiwa raia kuwa makini zaidi siku zijazo na kuepuka safari zisizo za muhimu mjini kati Bujumbura ususan nyakati za usiku. wakati tume huru Ceni kutangaza kama kiufundi aiwezekani kuarishwa uchaguzi ujao serikali nayo imetangza kwamba uchaguzi umeharishwa hadi siku itakao tangazwa mbeleni, wapinzani naho wametaja kuwa tatizo sio tarehe ya uchaguzi bali muula wa tatu wa Nkurunziza na hasa uchaguzi wama bunge na ma Duani ambao awautambuwi kabisa. Hata tarehe itangazwe wapinzani watasusia uchaguzi uwo.
|
Kayanza |
No comments:
Post a Comment