Watu kadhaa wauwawa Jijini Dar es salaam katika kituo cha polisi (SITAKISHARI) Ukonga na silaha za porwa na watu wanaosadikika n majambazi usiku wa kuamkia leo mida ya saa 5 Usiku.
Habari zinasema kwamba Askari polisi wa nne(4) na mfungwa mmoja(1) na jambazi wauwawa na Bunduki 21 za porwa kituon hapo.
Hizi n Baadhi ya picha za Tukio Hilo la ujambazi
Habari zinasema kwamba Askari polisi wa nne(4) na mfungwa mmoja(1) na jambazi wauwawa na Bunduki 21 za porwa kituon hapo.
Hizi n Baadhi ya picha za Tukio Hilo la ujambazi
Sundwa.Blgospot.com inazidi kufatilia undani kuhusu Habari hii....
No comments:
Post a Comment