Wema alipokea gari mbili ambapo moja alipewa na Mpenzi wake Diamond Platnumz" aina ya Nissan Murano pamoja na BMW ambayo hii wengi hawakujua imetoka kwa nani lakini baadae ukweli umetambulika kwamba imetoka kwa Kaka Manager Martin Kadinda. Martin amemkabidhi Wema gari hilo pamoja na kadi ya Gari ikiwa imeandikwa jina lake wema abraham sepetu hii ilikuwa cku special kwa wema baabda ya kujua zawad hii ya gari kutoka kwa mpenz wake chibu
No comments:
Post a Comment