.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Thursday, July 9, 2015

RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA MCHANA HUU TAYARI KWA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA YA CHAMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiteremka kwenye kiwanja cha Ndege Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama. Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM  Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma. Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete akiimba na wana CCM waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege mkoani Dodoma.(Picha na Adam Mzee) 
Vijimambo 

No comments:

Post a Comment