.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Sunday, July 5, 2015

KINACHOFUATA TOKA KWA ALI KIBA KIMATAIFA MWAKA HUU NI HIKI HAPA!


Alikiba ambaye ameachia video ya‘Chekecha Cheketua’ wiki hii, jana alipata nafasi ya kuchati na mashabiki
wake kupitia ukurasa wa Facebook wa Coca-Cola. Muimbaji wa ‘Chekecha
Cheketua’, Alikiba ambaye yuko Nairobi, Kenya kwenye msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Africa,
ametoa ahadi kwa mashabiki wake juu ya collabo ya kimataifa. Miongoni mwa maswali aliyokutana
nayo ni kuhusiana na collabo ya kimataifa, ambapo shabiki mmoja alimpongeza kwa kazi zake na kumuuliza ni lini waitegemee, na hili ndio jibu lake: “Ahsante sana. Mwaka huu huu.” Hata hivyo King Kiba hakutoa maelezozaidi, hivyo collabo hiyo bado iko kwenye mabano. Unahisi ni msanii gani wa kimataifa ambaye Kiba anafaakufanya naye collabo kwa kipindi
hiki?

No comments:

Post a Comment