.

.

TUMIA VIDOLE

TUMIA VIDOLE
PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918 PATA HABARI MBALI MBALI KUTOKA KATIKA BLOG HII PIA TANGAZA AU TOA MAONI KUPITIA Email:Luzunhowhiser@gmail.com OR Cell: 0653394330 OR 0755560918sundwa.Blogspot.com

Thursday, July 9, 2015

HAYAWI HAYAWI HATIMAYE……VAN PERSIE KUPIMA AFYA FENERBAHCE

Nilikupa taarifa kwamba Fenerbahce wamekubaliana na Manchester united ili Van Persie ahamie kwenye club yao. Kilichobaki ilikua ni kwa Van Persie na yeye ahusishwe kwenye haya mazungumzo.
Kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika, Robin van Persie anajiandaa kufanya vipimo vya afya leo katika klabu ya  Fenerbahce. Kama anafanya vipimo vya afya maana yake mambo  tayari yameshakuwa poa kwa Fenerbahce.
Van Persie anatimka Manchester United majira haya ya kiangazi na kwenda kujiunga na miamba hiyo ya Uturuki.Mshambuliaji huyo wa Uholanzi anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne na atapima afya leo mjini London.download

No comments:

Post a Comment