Diamond atoa shukrani zake za Dhati kwa mashabiki na watu wanaosupport katika mziki wake. kuna taarifa zina sema Diamond Achaguliwa katika tuzo za marekani ziitwazo AfricanEntertainmentAwards na haya ndio maneno yake wakati yupo S.A kwa ajiri ya show yake.
"Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa... Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk... ila pia wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri...kuwa Nimechaguliwa kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo @AfricanEntertainmentAwards Kama Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa #NtaMpataWapi Hii ndio Account yao @AfricanEntertainmentAwards Ntawajuza namna ya Kupiga kura Soon..🙏'"

No comments:
Post a Comment