Hizi n baadhi ya picha ambazo znaonesha jins ugojwa wa tetekuwanga zilivyo niathir, mpaka sasa naanza kuona mabadiliko ni baada ya kutumia dawa mbali mbali ambazo znanisaidia namshukuru sana mom wangu kwa kuwa bega kwa bega na mm pia napenda kutoa shukuran kwa nurse Alwina,
na Baadhi ya wanachuo wenzangu kwa kuonesha ushirikiano wa dhat kwangu na kwa wale walio shirik kwa namna moja na nyingine kama kunipaka dawa na mwenyez mungu Awasaidie
No comments:
Post a Comment