Sunday, September 13, 2015
Friday, September 11, 2015
Monday, August 10, 2015
Saturday, August 8, 2015
Nyoka huyu mkubwa jamii ya Chatu alimmeza mwanafunzi wa kike huko nchini Nigeria.
Binti huyu ambaye ni mtoto pekee wa mama mmoja huko Nigeria, alimezwa na chatu huyo akiwa amebaki peke yake darasani baada ya muda wa masomo akiendeleas kujisomea..
Kwa mujibu wa majirani walisema kuwa, nyoka huyo inasemekana alitumwa na rafiki wa karibu wa mama wa binti huyo ambaye amehangaika kwa muda wa miaka 20 sasa baada ya kuolewa pasipo pata mtoto.
Hivyo akaamua kumtumia chatu huyo kuja kumla mtoto wa rafiki yake ili na yeye aweze kuwa katika hali kama yake ya kutokuwa na mtoto.
Rafiki usomaye habari hii,
Kumbuka sio kila mtu anayefurahia mafanikio yako hufurahia kutoka moyoni mwake. Na sio kila mwenye kukupa hongera kwa kila hatua uifikiayo huwa inamtoka moyoni.
Ni wachache sana wanaokuombea na kukutakia mafanikio kwa kila hatua yako.
Mwenyezi Mungu tunusuru na maadau zetu amabo nao wamevalia ngozi ya urafiki kamwe wasiweze kutudhuru zaidi ya wao kuumbuka na kila baya watakalo liomba lije kwetu na ligeuke na kuwa baraka kwetu hadi washangazwe.
Subscribe to:
Posts (Atom)